IQNA

Jumba la Makumbusho ya Kiislamu la Msikiti wa Al-Aqsa

IQNA - Jumba la Makumbusho ya Kiislamu la Msikiti wa Al-Aqsa liko katika jengo la kihistoria kusini-magharibi hadi msikiti katika mji mtakatifu wa al-Quds (Jerusalem). Kuna maonyesho ya vipindi kumi vya historia ya Kiislamu inayojumuisha maeneo kadhaa ya Kiislamu.