IQNA

Maelfu wajumuika Tehran katika maadhimisho ya Siku ya Kuzaliwa Imam Ridha (AS)

IQNA - Maelfu ya wananchi wa Tehran, mji mkuu wa Iran wameshiriki katika hafla iliyofanyika Mei 17, 2024, wakati wa kukaribia maadhimisho yakumbukumbu ya kuzaliwa kwa Imam Ridha (AS), Imam wa Nane wa Waislamu wa madhehebu ya Shia.