IQNA

Hauli ya Imam Khomeini yafanyika Madina

IQNA - Hauli ya mwaka wa 35 tokea alipoaga dunia Imam Khomeini (Mwenyezi Mungu Amrehemu), muasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanyika katika mji mtakatifu wa Madina wiki hii.

Hujjatul Islam Abdul Fattah Navab, mwakilishi wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya Hija  alihutubia hadhirina katika hauli hiyo.