Waombolezaji wakumbuka kuuawa shahidi Imam Jawad huko Kadhimiya, Iraq
IQNA – Maelfu ya watu walikusanyika katika maeneo matakatifu ya Kadhimiya, Iraq, tarehe 6 Juni 2024, katika kumbukumbu ya kuuawa shahidi Imam Jawad (AS), Imam wa tisa wa Waislamu wa madhehebu ya Shia.
copied
https://iqna.ir/H0Eb22