Morocco.: Wahifadhi wa Qur’ani Tukufu Wanawake watunukiwa Zawadi
IQNA - Kundi la wanawake waliohifadhi Qur’an Tukufu kwa kumbukumbu yao walitunukiwa katika hafla maalum huko Chichaoua, Morocco. Hafla hiyo ilifanyika Jumanne, Julai 16, 2024, na video zake zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii, Wanamtandao wamekaribisha tukio hilo.
copied
https://iqna.ir/H0Eb5T