IQNA

Nakala ya kihistoria ya Qur'ani Tukufu zapata makao mapya katika Chuo Kikuu cha Tehran

IQNA - Sherehe ilifanyika tarehe 24 Julai 2024, ili kuzindua nakala ya Qur'ani Tukufu (Msahafu) iliyoandikwa kwa mkono miaka 180 iliyopita ambayo imezawadiwa Maktaba Kuu ya Chuo Kikuu cha Tehran.