IQNA

Pakua: "Dhikr al-Hussein" kwa sauti ya Ali Fani

IQNA- Kwa mnasaba wa siku za Muharram za kukumbuka kuuawa shahidi Hazrat Aba Abdullah Al-Hussein (AS), tunasambaza "Dhikr Al-Hussein" kwa sauti ya Ali Fani, mwimbaji wa qasida za kidini nchini Iran.