IQNA

Kisomo cha Mbinguni: Msikize Sheikh Abdul Fattah Taruti akisoma aya za Surah Al-Qiyama

IQNA – Ifuataya ni qiaraa (kisomo) ya qari maarufu wa Misri Sheikh Abdul Fattah Taruti akisoma aya aya za 7-12 za Surah Al-Qiyama ya Qur'ani Tukufu.

Mtume Muhammad (SAW) alisema wakati mmoja kwamba kuisikiliza Qur'ani Tukufu humletea mja thawabu za Mwenyezi Mungu, huku kila herufi ikisikika ikistahiki tendo jema kwa msikilizaji, na kumpandisha msikilizaji katika safu ya wale wanaosoma maandiko matukufu na kupaa kuelekea mbinguni. 

Shirika la habari la IQNA limeratibu na kutoa mfululizo unaoitwa "Kisomo cha Mbinguni," wenye kumbukumbu za kuvutia za wasomaji maarufu Qur’ani Tukufu.

Kishikizo: Fattah Ali Taruti