IQNA

Moja ya Misikiti maridadi zaidi ya Tehran

IQNA - Msikiti wa Imam Sadiq (AS) katika Medani ya Palestina ya Tehran ni moja ya misikiti maridadi zaidi katika mji mkuu wa Iran, Tehran Msikiti huu una mandhari ya kuvutia baadhi ya maeneo yake yamejengwa kwa kuiga misikiti ya kale ya Isfahan. Shabestan (nafasi ya misikiti inayotumika kama ukumbi mkuu wa swala) pia ina mvuto wa aina yake.
 
 
Kishikizo: msikiti