IQNA

Aya za maisha: Kile Ambacho Manabii Walitaka Kusema

IQNA: Katika Aya ya 36 ya Surah Nahl, imeelezwa: *Na kwa hakika kwa kila umma tuliutumia Mtume kwamba: Muabuduni Mwenyezi Mungu, na muepukeni taghuti.