Aya za Maisha: Kusimama dhidi ya wenye kiburi
Nenda kwa Firauni; kwani hakika yeye amepindukia mipaka. (Musa) akasema: Ewe Mola wangu Mlezi! Nikunjulie kifua changu, Na unifanyie nyepesi kazi yangu, Na ulifungue fundo lililo katika ulimi wangu. Sura Taha Aya ya 24-28