IQNA

Aya za Maisha: Kumtii Mwenyezi Mungu na Mtume

IQNA – “Enyi mlio amini! Mt´iini Mwenyezi Mungu, na mt´iini Mtume na wenye madaraka katika nyinyi…" Aya ya 59 ya Surah An-Nisa.