IQNA

Aya za Maisha: Kila nafsi itaonja mauti

IQNA-Kila nafsi itaonja mauti; na tunakujaribuni kwa mtihani wa shari na kheri. Na kwetu Sisi mtarejeshwa.