IQNA

Haram ya Bibi Masoumah (SA) katika mkesha wa Maadhimisho ya Kuzaliwa kwa Bibi Fatima Zahra (SA)

IQNA - Wafanyaziara katika kaburi tukufu la Bibi Masoumah (SA) huko Qom, Iran, walikusanyika kusherehekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Bibi Fatima Zahra (SA), binti ya Mtume Muhammad (SAW), jioni ya Jumamosi, Desemba 21, 2024. .