IQNA

Seminari ya wanafunzi wa Kiafrika waliopo Qom yafanyika katika Msikiti wa Jamkaran 

IQNA - Msikiti wa Jamkaran uliopo Qom, Iran, uliandaa mkusanyiko wa wanafunzi wa seminari za Kiislamu kutoka nchi mbalimbali za Afrika pamoja na familia zao, katika kuadhimisha Sikukuu ya Nisf –Sha’aban, ambayo inaadhimisha kuzaliwa  kwa  Imam wa Zama, Mahdi (AF-Mwenyezi Mungu aharakishe kudhihiri kwake na kwa  furaha-).