IQNA

Haram Takatifu ya Qum inaandaa vikao vya qiraa ya Qur'ani Tukufu Katika Mwezi wa Ramadhani

IQNA – Ibada ya usomaji wa Qur'an kwa mtindo wa Tarteel inafanyika kila siku katika haram takatifu ya Hadhrat Masoumah (SA) huko Qom, Iran, katika mwezi mtukufu wa Ramadhani. Idadi kubwa ya waumini hushiriki katika programu hii. Picha zifuatazo zinaonyesha ibada ya usomaji Qur'ani Tukufu iliyofanyika katika siku ya tatu ya Ramadhani 1446 Hijria Qamaria (2025)