Juzuu ya 11 - Qiraa ya Kila Siku ya Qur’ani
IQNA – Tumekuandalia qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 11 ya Qur’ani Tukufu, ambayo inasomwa na maqari wafuatao kutoka Iran: Mahdi Adeli, Ali Ghasemabadi, Mojtaba Parvizi, na Hossein Fardi. J iunge na IQNA kila siku katika mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa safari ya kiroho kupitia Qur’ani Tukufu ili tuweze kuhitimisha pamoja mwishoni mwa mwezi huu mtukufu.