Juzuu ya 10 - Qiraa ya Kila Siku ya Qur’ani
IQNA – Tumekuandalia qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 10 ya Qur’ani Tukufu, ambayo inasomwa na maqari wafuatao kutoka Iran: Ali Ghasemabadi, Mahdi Gholamnejad, Hossein Rostami, na Wahid Barati.
Jiunge na IQNA kila siku katika mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa safari ya kiroho kupitia Qur’ani Tukufu ili tuweze kuhitimisha pamoja mwishoni mwa mwezi huu mtukufu.