IQNA

Juzuu ya 8 - Qiraa ya Kila Siku ya Qur’ani

IQNA – Tumekuandalia qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 8 ya Qur’ani Tukufu, ambayo inasomwa na maqari wafuatao kutoka Iran: Mahdi Qarasheikhlu, Masoud Nouri, Hossein Fardi, and Saeed Parvizi. Jiunge na IQNA kila siku katika mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa safari ya kiroho kupitia Qur’ani Tukufu ili tuweze kuhitimisha pamoja mwishoni mwa mwezi huu mtukufu.

Juzuu ya 8 - Qiraa ya Kila Siku ya Qur’ani

 

Kishikizo: juzuu ، ramadhani