Juzuu ya 9 - Qiraa ya Kila Siku ya Qur’ani
IQNA – Tumekuandalia qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 9 ya Qur’ani Tukufu, ambayo inasomwa na Ustadh Ahmad Abulqasemi. Jiunge na IQNA kila siku katika mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa safari ya kiroho kupitia Qur’ani Tukufu ili tuweze kuhitimisha pamoja mwishoni mwa mwezi huu mtukufu.