Juzuu ya 12 - Qiraa ya Kila Siku ya Qur’ani
IQNA – Tumekuandalia qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 12 ya Qur’ani Tukufu, ambayo inasomwa na maqari wafuatao kutoka Iran: Hossein Rostami, Mahdi Adeli, Jafar Fardi, na Ali Ghasemabadi. Jiunge na IQNA kila siku katika mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa safari ya kiroho kupitia Qur’ani Tukufu ili tuweze kuhitimisha pamoja mwishoni mwa mwezi huu mtukufu.