IQNA

Kisomo cha Aya za Sura Ash-Shura cha Qari wa Kimataifa wa Iran, Mohammad Javad Kashefi

IQNA – Mohammad Javad Kashefi, msomaji mahiri na mashuhuri wa Qur’ani Tukufu wa kimataifa kutoka nchini Iran, hivi karibuni ametoa kisomo cha kuvutia cha aya za 17 hadi 22 za Sura Ash-Shura pamoja na Sura Al-Asr.

Kisomo hicho kimefanyika katika mazingira ya kiroho ya Haramu Tukufu ya Imam Ridha (AS) iliyoko mjini Mashhad, Iran.