Ndoa

IQNA

IQNA – Kituo cha Kiislamu cha Vienna, mji mkuu wa Austria, kimeandaa warsha iliyopewa jina la “Ujiandae kwa Ndoa ”, kwa lengo la kuunda mazingira salama ya tafakuri na maandalizi ya kisaikolojia kabla ya kuingia katika ndoa.
Habari ID: 3481842    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/24

IQNA – Ili kuunga mkono ndoa na familia, mjasiriamali mmoja kutoka Jordan ametangaza kuwa vijana watakaohifadhi juzuu sita za Qur’ani Tukufu watapewa msaada wa kifedha pindi watakapooana.
Habari ID: 3481775    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/06

Suluhisho la Qur'ani kwa matatizo ya Familia/1
TEHRAN (IQNA) – Tatizo la kukosekana kwa usawa katika kiwango cha elimu, mali, n.k, kati ya mwanamume na mwanamke wanaooana linaweza kusababisha migogoro na wanandoa wanaweza kuishia kwenye talaka kutokana na hilo.
Habari ID: 3477858    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/07

Qur'ani Tukufu Inasemaje / 36
TEHRAN (IQNA) – Familia ni mojawapo ya misingi muhimu ya jamii na inabeba jukumu la kulea watoto wanaojenga vizazi vijavyo. Uislamu unalipatia umuhimu mkubwa kitengo hiki cha kijamii na umefafanua mifumo maalum kwa ajili yake.
Habari ID: 3476112    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/19

TEHRAN (IQNA)- Sheikh Mkuu wa Al-Azhar wa Al Azhar amekosolewa na wanazuoni wenzake wa Kiislamu nchini Misri kwa kudai kuwa "ndoa ya wake wengi ni dhulma kwa wanawake na watoto".
Habari ID: 3471863    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/03/05