iqna

IQNA

misri
Elimu
IQNA - Rais wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri ameisitiza haja ya kulipa kipaumbele maalum  suala la tarjuma au tafsiri sahihi ya maandishi ya Kiislamu
Habari ID: 3478733    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/25

Harakati za Qur'ani
IQNA - Sherehe imefanyika katika Radio au Idhaa ya Qur'ani ya Misri huko Cairo kusherehekea kumbukumbu ya miaka 60 ya kuanzishwa kwa kituo hicho cha redio
Habari ID: 3478725    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/24

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Misri inaandaa mashindano ya kimataifa ya Qur'ani kwa wenye vipaji maalumu lengo likiwa ni  kukuza utamaduni wa Kiislamu.
Habari ID: 3478716    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/22

Ramadhani
IQNA - Washindi wa Awamu ya 30 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Misri wametunukiwa zawadi katika hafla ya Jumamosi.
Habari ID: 3478644    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/07

Qur'ani Tukufu
IQNA - Sheikh Nadi Fawzi ni qari maarufu wa Misri na imamu wa Msikiti wa Al-Noor huko Cairo.
Habari ID: 3478556    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/22

Nidhamu
IQNA - Qari maarufu nchini Misri amehukumiwa kifungo cha miezi sita jela kwa tabia yake isiyo ya kawaida alipokuwa akisoma Qur’ani Tukufu hivi karibuni.
Habari ID: 3478471    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/08

Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Fanous (taa) imekuwa ishara ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani katika baadhi ya nchi kwa mamia ya miaka. Taa hii pia ni maarufu kama Fanous Ramadhan.
Habari ID: 3478470    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/08

Harakati za Qur'ani Misri
IQNA - Wizara ya Wakfu ya Misri inapanga kuzindua msafara wa wasomaji Qur'ani Tukufu kwa ajili ya mwezi mtukufu wa Ramadhani. Msafara huo utaundwa na Idara ya Wakfu ya Mkoa wa Alexandria.
Habari ID: 3478441    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/03

Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Misikiti nchini Misri inatayarishwa kuwakaribisha waumini katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3478436    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/01

Harakati za Qur'ani
IQNA - Wizara ya Wakfu ya Misri iliandaa kongamano la Qur'ani katika misikiti 66 kote nchini.
Habari ID: 3478426    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/28

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya kimataifa ya mabingwa katika kuhifadhi Qur'ani Tukufu na utamaduni wa Kiislamu yamepangwa kufanyika nchini Misri msimu huu wa kiangazi.
Habari ID: 3478346    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/13

Harakati za Qur'ani
IQNA - Mpango wa Qur'ani kwa watoto nchini Misri umepokelewa vyema sana katika majimbo tofauti ya nchi hiyo.
Habari ID: 3478341    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/12

Harakati za Qur'ani
IQNA - Misikiti mikubwa nchini Misri itakuwa imeandaa programu za Khatm al Qur’an (kusoma Quran nzima) katika siku ya kwanza ya mwezi wa Hijri wa Shaaban.
Habari ID: 3478336    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/11

Watetezi wa Qur'ani
IQNA - Washiriki wa mashindano ya kimataifa ya Qur'ani huko Port Said, Misri, walifanya maandamano ya kuwaunga mkono Wapalestina wanaodhulumiwa wa Gaza.
Habari ID: 3478294    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/03

Mashindano ya Qur'ani
IQNA-Toleo la 7 la tukio la kimataifa la Qur'ani linatarajiwa kufanyika Port Said, kaskazini mwa Misri, Februari 2-6.
Habari ID: 3478293    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/02

Qarii
IQNA – Sheikh Shaban Abdul Aziz Sayyad, qari mashuhuri wa Misri ambaye alijulikana kwa ufasaha, uwezo na umahiri wake wa kusoma Qur’ani Tukufu, alifariki Januari 29, 1998, akiwa na umri wa miaka 58.
Habari ID: 3478284    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/01

Misri
IQNA - Ahmed Hijazi, mwanamuziki wa Misri, amehukumiwa kifungo cha miezi sita jela kwa kuitusi Qur'ani Tukufu, vyombo vya habari vya nchi hiyo vimeripoti.
Habari ID: 3478272    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/29

IQNA – Kiikao cha Khatmul Quran (kusoma Qur'ani Tukufu kutoka mwanzo hadi mwisho) kimefanyika kwa wanawake katika msikiti katika mji mkuu wa Misri.
Habari ID: 3478270    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/29

Uislamu kwa watu wote
IQNA - Nakala za Qur'ani Tukufu na vitabu vya Kiislamu katika maandishi ya maandishi ya nukta nundu au kwa lugha ya kiingereza Braille, ni miongoni mwa vitu vilivyoonyeshwa kwenye toleo la 55 la Maonyesho ya Kimataifa ya Vitabu ya Cairo.
Habari ID: 3478267    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/28

Utamaduni wa Kiislamu
IQNA - Mwandishi wa kaligrafia kutoka Misri ambaye amekamilisha uandishi wa Qur'ani Tukufu anasema kufikia mafanikio haya ni ndoto ya kila mwanakaligrafia Muislamu.
Habari ID: 3478235    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/22