iqna

IQNA

IQNA-Kardinali Robert Prevost ametangazwa kuwa kiongozi mpya wa Kanisa Katoliki. Yeye ndiye Papa wa kwanza kutoka Marekani na kuchukua jina la papa Leo XIV.
Habari ID: 3480657    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/09

TEHRAN (IQNA)- Aliyekuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Benedict wa 16, amefariki dunia leo Jumamosi, akiwa na umri wa miaka 95.
Habari ID: 3476335    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/31