IQNA - Kongamano la 38 la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu lilimalizika Jumamosi huku washiriki wakisisitiza umoja katika taarifa yao ya mwisho kama suluhu pekee la kusitisha ukatili wa Israel.
Habari ID: 3479470 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/22
Kongamano la 27 la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu, limehitimisha shughuli zake kwa kutolewa mada kuu 20. .
Habari ID: 1361637 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/01/21