Filamu ya Muhammad Rasulullah SAW imeonyeshwa kimataifa kwa mara ya kwanza katika Tamasha la Kimataifa la Filamu la Montreal nchini Canada.
Habari ID: 3353310 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/28
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza juu ya udarura wa wananchi na viongozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa macho mbele ya njama za maadui.
Habari ID: 3353086 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/27
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitiza kuhusu udharura wa umoja baina ya Waislamu ili kukabiliana na njama hatari za utawala haramu wa Israel za kuubomoa Msikiti wa Al Aqsa katika Mji wa Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3349556 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/21
Kutokana na pendekezo lililotolewa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kwa ajili ya kuenzi Msikiti wa kihistoria wa al Aqsa, tarehe 21 Agosti imetangazwa na Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kuwa ni Siku ya Kimataifa ya Msikiti.
Habari ID: 3349544 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/21
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Ayatullahil Udhma Khamenei Ali Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inazinyooshea mkono wa urafiki serikali zote za Kiislamu za eneo na wala haina tatizo lolote na serikali za Kiislamu.
Habari ID: 3345403 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/18
Rais Hassan Rouhani wa Iran
Rais Rouhani amesisitiza kuwa, njia pekee ya kukabiliana na changamoto hizo ni kurejea kwenye umoja wa Waislamu duniani na kujitenga na mirengo iliyopotoka.
Habari ID: 3344480 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/15
Gazeti moja la Uingereza hivi karibuni limechapisha orodha ya misikiti 25 bora duniani kwa mtazamo wa usanifu majengo.
Habari ID: 3338961 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/04
Kitendo cha kinyama cha Wazayuni wa Israel cha kumchoma moto hadi kufa mtoto mchanga wa Palestina mwenye umri wa miezi 18 kimeendelea kulaaniwa kote duniani.
Habari ID: 3337635 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/01
Msomaji bora katika Mashindano ya 57 ya Kimatiafa ya Qur’ani Malaysia amepokea zawadi kutoka kwa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3332311 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/23
Mufti wa Tunisia Sheikh Hamda Saeed amewaomba radhi Watunisia baada ya kubaini kuwa alifanya kosa kwa kutangaza mapema siku kuu ya Idul Ftir.
Habari ID: 3330378 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/20
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, umoja na mshikamano ni tiba ya matatizo ya ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3329122 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/18
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia ujumbe viongozi wa nchi za Kiislamu akimshukuru Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa kukamilisha mfungo wa mwezi wa Ramadhani.
Habari ID: 3329111 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/18
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, Ayatullahil-Udhma Sayyid Ali Khamenei, amesema taifa la Iran litaendelea kuwaunga mkono marafiki zake katika eneo la Mashariki ya Kati kama vile wananchi wa mataifa ya Yemen, Palestina, Bahrain, Iraq, Syria na Lebanon.
Habari ID: 3329110 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/18
Kamati ya kuutafuta mwezi mwandamo katika Ofisi ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu imetangaza kuwa, Siku kuu ya Idul Fitr itaadhimishwa kesho Jumamosi nchini Iran na kwa msingi huo Ijumaa ya leo ni siku ya mwisho ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani nchini.
Habari ID: 3328911 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/17
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amepongeza na kushukuru juhudi, mapambano ya dhati na umakini wa timu ya mazungumzo ya nyuklia ya Iran.
Habari ID: 3328599 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/15
Iran itashiriki katika mashindano ya kimataifa ya Qur’ani Tukufu nchini Sudan.
Habari ID: 3327976 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/14
Awamu ya 23 ya Maonyesho ya Kimataifa ya Qur’ani Tehran yanamalizika Jumanne hii.
Habari ID: 3327645 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/13
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema kupambana na mabeberu na mfumo wa kibeberu na kiistikbari kuna misingi katika Qur'ani tukufu na hakuwezi kusimamishwa, na Marekani ndiyo kielelezo kamili cha beberu katika zama hizi.
Habari ID: 3327198 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/12
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah amesema Iran ndio nchi pekee inayounga mkono ukombozi wa ardhi zote za Palestina na Quds Tukufu.
Habari ID: 3326617 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/11
Maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds nchini Iran mwaka huu yamekuwa makubwa na mapana zaidi kuliko miaka iliyopita.
Habari ID: 3326322 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/11