iqna

IQNA

Siku ya Alkhamisi ya tarehe 4 Juni inasadifiana na kumbukumbu za siku ya kufariki dunia Imam Khomeini MA, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3310852    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/04

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema misimamo ya nyuklia ya Iran ni ile ile iliyotangazwa mara kadhaa hadharani.
Habari ID: 3308684    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/28

Wanafunzi wa madrassah za mji mkuu wa Tanzania, Dar es Salaam wameshiriki katika mashindano ya kuhifadhi Qur'ani katika Masjid Hudaa eneo la Mbagala.
Habari ID: 3308477    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/27

Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula Duniani limeahidi kupeleka misaada ya Iran nchini Yemen. Meli ya Iran ilikuwa ipeleke misaada ya kibinadamu moja kwa nchini Yemen lakini ikashindwa kufanya hivyo kutokana na kuendelea hujuma za katika Bandari ya Hudaydah.
Habari ID: 3307026    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/24

Awamu ya 32 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran imekamilika na washindi kutangazwa huku wawakilishi wa nchi za Afrika wamefanya vizuri katika kuhifadhi Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3306240    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/22

Wanawake wasomi na wanaharakati wa Qur'ani Tukufu wameenziwa pembizoni mwa Awamu ya 32 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran.
Habari ID: 3306144    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/21

Mwakilishi wa Saudi Arabia katika Awamu ya 32 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran ameyataja mashindano hayo kuwa nembo ya umoja miongoni mwa Waislamu.
Habari ID: 3306138    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/21

Washiri kadhaa wa awamu ya 32 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Iran ametembelea Bunge la Iran, Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, siku ya Jumapili.
Habari ID: 3304650    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/18

Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ubeberu kinara wake akiwa Marekani ndio chanzo kikuu cha kutokea ujahili wa kisasa.
Habari ID: 3304290    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/17

Awamu ya 32 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Iran imeanza Ijumaa jioni kwa hotuba ya Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hapa mjini Tehran.
Habari ID: 3304081    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/16

Wataalamu 22 wa Qur’ani Tukufu wameteuliwa katika jopo la majaji wa awamu ya 32 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3293178    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/12

Meli ya misaada ya kibinadamu ya Iran kwa ajili ya wananchi wanaondelea kushambuliwa kinyama na Saudi Arabia huko Yemen inaendelea na safari yake baada ya kuondoka katika bandari ya Bandar Abbas, kusini mwa Iran.
Habari ID: 3292005    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/12

Rais Hassan Rouhani
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hujuma ya kinyama ya Saudi Arabia katika j iran i ya Yemen ni kosa la kistratejia.
Habari ID: 3277848    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/10

Mamilioni ya wananchi Waislamu wa Iran wameandamana kote nchini baada ya Sala ya Ijumaa kulaani jinai za utawala wa Saudia dhidi ya watu wa Yemen. Wananchi katika miji mikubwa kama vile Tehran, Qom, Mashhad na miji mingine 770 kote nchini.
Habari ID: 3276822    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/09

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema haafiki mazungumzo wakati kunakuwepo vitisho na hivyo wakuu wa sera za kigeni Iran na wanaoshiriki katika mazungumzo wanapaswa kulinda na kuzingatia kwa kina misingi na mistari myekundu.
Habari ID: 3269139    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/07

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa wito kwa jamii ya kimataifa kuchukua hatua za kusitisha hujuma ya kijeshi ya Saudi Arabia dhidi ya Yemen.
Habari ID: 3269138    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/07

Nakala kubwa zaidi ya Qur'ani duniani imeandikwa katika mji mtakatifu wa Mash'had kaskazini maashariki mwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3259424    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/05

Zaidi ya nchi 62 zimethibitisha kushiriki katika awamu ya 32 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3185599    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/04/21

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kamwe haijawahi kuwa tishio kwa usalama wa eneo la Mashariki ya Kati na nchi maj iran i zake na katika siku za usoni pia haitokuwa hivyo, lakini wakati huo huo itaendelea kusimama kidete kukabiliana vilivyo na uchokozi wa aina yoyote ile dhidi yake.
Habari ID: 3180160    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/04/20

Awamu ya 32 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yanatazamiwa kuanza katika mji mkuu Tehran mnamo 27 Rajab sawa na Mei 15.
Habari ID: 3156549    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/04/16