iqna

IQNA

Rais Hassan Rouhani
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kuimarishwa uhusiano baina ya nchi za Kiislamu ni kati ya vipaumbele vya awali vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3470247    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/15

Duru ya kwanza ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani maalumu kwa walemavu wa macho yatafanyika Tehran sambamba na mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya kila mwaka.
Habari ID: 3470246    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/13

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema misaada ya silaha na kifedha inayotoa Marekani kwa makundi ya kigidi ni moja ya vizuizi katika utatuzi wa tatizo la ugaidi.
Habari ID: 3470244    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/12

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema ili kupambana na hatari ya ugaidi na muamala wa kindumakuwili wa madola makubwa, kuna haja kwa nchi za Kiislamu kuongeza ushirikiano wao katika fremu ya siasa za kutimia akili na za kimantiki.
Habari ID: 3470242    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/11

Ayatullah Ali Khamenei
Amirijeshi Mkuu wa vikosi vyote vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitizia udharura wa kutiliwa nguvu uwezo wa operesheni za kijeshi na misukumo ya kimaanawi na kidini ya vikosi vya ulinzi vya Iran.
Habari ID: 3470238    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/10

Kiongozi Muadhamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Marekani na baadhi ya nchi za Magharibi si za kuaminika.
Habari ID: 3470231    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/06

Wanawake wanaohudumu katika Shirika la Ndege la Air France wamefahamishwa kuwa ni sharti wavae Hijabu wakati ndege yao inaposimama nchini Iran.
Habari ID: 3470227    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/03

Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, mfumo wa kibeberu uliosimama juu ya msingi wa kutumia mabavu ya kisiasa, kiuchumi, kiutamaduni na kijeshi.
Habari ID: 3470221    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/31

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani mashambulio ya hivi karibuni za kigaidi katika mji wa Lahore Pakistan na karibu na Baghdad mji mkuu wa Iraq.
Habari ID: 3470218    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/28

Khatibu wa Sala ya Ijumaa
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran amesistiza kuwa taifa la Iran litaendeleza mapambano na halitosalimu amri mbele ya matakwa ya madola ya kibeberu.
Habari ID: 3470213    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/25

Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amempa mkono wa kheri na fanaka Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa kuwadia mwaka mpya wa 1395 Hijria Shamsia.
Habari ID: 3470209    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/22

Rais Rouhani
Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema nchi hii inalenga kuwa na ustawi wa kiuchumi wa asilimia tano katika mwaka mpya wa Ki iran i ulioanza Machi 20.
Habari ID: 3470208    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/20

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuhusu kuendelea uadui wa Marekani na taifa la Iran na kusema kuwa, 'Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitalegeza msimamo kuhusu misimamo yake ya kimsingi.'
Habari ID: 3470207    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/20

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe wa kuanza mwaka mpya wa 1395 Hijria Shamsia akiwapa mkono wa kheri ya mwaka mpya na Nairuzi wananchi wote na Wa iran i hususan familia tukufu za mashahidi na majeruhi wa vita.
Habari ID: 3470206    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/20

Kikao cha kwanza cha Qur'ani Tukufu huko magharibi mwa Afrika kimefunguliwa katika mji mkuu wa Senegal, Dakar.
Habari ID: 3470203    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/17

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema, wananchi wa Iran wameonesha kivitendo imani yao kwa Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu kwa kushiriki kwa wingi katika uchaguzi uliofanyika nchini hivi karibuni.
Habari ID: 3470191    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/11

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu leo amepanda mche mmoja wa mti katika Wiki ya Maliasili nchini Iran na kusisitiza kuhusu kulindwa mazingira.
Habari ID: 3470187    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/08

Mashindano ya 38 ya Kitaifa ya Qur’ani Tukufu nchini Iran yamemalizika Jumamosi usiku katika hafla iliyofanyika mjini Kermanshah mashariki mwa nchi.
Habari ID: 3469906    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/27

Rais Rouhani wa Iran
Duru ya 29 ya mkutano wa Umoja wa Kiislamu imeanza leo hapa mjini Tehran kwa hotuba ya Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye amesisitiza kuhusu ulazima wa Waislamu kuungana.
Habari ID: 3469883    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/27

Zawadi ya Mustafa SAW
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeanzisha Zawadi ya Kimataifa ya Mustafa (SAW) ambapo imewatunuku zawadi wanasayansi bora zaidi Waislamu duniani katika hafla iliyofanyika Tehran.
Habari ID: 3469674    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/26