Ali Larijani, Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, amesema barua ya hivi karibuni ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni kwa vijana wa Magharibi ni msingi mpya wa kuamiliana ulimwengu wa Kiislamu na Magharibi ambao umejengeka juu ya msingi wa mantiki, ukweli wa mambo na kuheshimiwa tamaduni.
Habari ID: 3460507 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/06
Rais Rouhani
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran inataka kuchangia katika utulivu na maendeleo ya eneo la Mashariki ya Kati na kuimarisha umoja na mshikamano katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3460265 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/06
Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa Gholam Ali Khoshrou amesema barua ya hivi karibuni ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Magharibi iliwasilisha matazamo halisi wa Uislamu.
Habari ID: 3459723 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/04
Kiongozi Muadhamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: 'Mantiki ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kustawisha uhusiano na mataifa yote ya dunia."
Habari ID: 3459299 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/01
Barua ya pili ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa nchi za Magharibi imeakisiwa kwa wingi katika vyombo vya habari vya kigeni.
Habari ID: 3458797 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/30
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itatetea kwa uwezo wake wote harakati ya wananchi wa Palestina.
Habari ID: 3457216 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/26
Ayatullah Udhma Sayid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Jumatatu alionana na Rais Vladimir Putin wa Russia mjini Tehran na huku akikaribisha juhudi za kustawisha zaidi ushirikiano wa pande mbili, wa kieneo na kimataifa
Habari ID: 3456712 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/24
Rais Vladimir Putin wa Russia amemtunuku Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullahil Udhma Sayyid Ali hamenei, nakala ya zamani yenye thamani kubwa ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3456287 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/23
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei kabla ya adhuhuri ya leo amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria aliyeko safarini hapa nchini.
Habari ID: 3456282 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/23
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyed Ali Khamenei ametangaza sera jumla kuhusiana na kulinda mazingira nchini Iran.
Habari ID: 3454537 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/19
Rais Rouhani
Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Ufaransa wametangaza utayarifu wa nchi hizo mbili kwa ajili ya kushirikiana katika masuala ya usalama na habari za kipelelezi katika fremu ya mapambano dhidi ya ugaidi.
Habari ID: 3454175 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/18
Kikao cha 12 cha wasomi wafasiri wa Qur’ani Tukufu kimeanza Jumanne hii katika mji mtakatifu wa Qum nchini Iran.
Habari ID: 3454168 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/18
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesisitiza juu ya ulazima wa vyuo vikuu kutoa mchango katika kujenga ustaarabu mpya wa Kiislamu.
Habari ID: 3447344 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/11
Rais Rouhani wa Iran
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaja Qur'ani Tukufu kuwa ni kitabu cha nuru na uongozi na kuongeza kuwa yeye daima huanza siku yake kwa kusoma kurasa kadhaa za kitabu hicho kitakatifu.
Habari ID: 3444795 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/08
Rais Hassan Rouhani
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran itaendelea kwa nguvu zake zote kupambana na njama za mabeberu.
Habari ID: 3443715 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/04
Wa iran i leo wamefanya maandamano makubwa kote nchini kuadimisha mwaka wa 36 wa kutekwa ubalozi wa Marekani mjini Tehran mwaka 1979.
Habari ID: 3443714 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/04
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei, amesema wananchi wa Iran hawatoinyooshea mkono wa urafiki Marekani ambayo inatumia kila mbinu na hila kwa lengo la kuifuta Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3443189 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/03
Professor Abdulaziz Sachedina
Kila ambaye anatafakari kuhusu msingi wa kimaanawi wa uwepo wa mwanadamu na ujumbe wa Qur'ani kuhusu umaanawi katika zama zetu hizi, anapaswa kusoma aliyoyasema Imam Khomeini MA kuhusu Qur'ani Tukufu
Habari ID: 3428266 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/01
Iran imelaani vikali hujuma ya hivi karibuni ya ndege za kivita za Saudi Arabia dhidi ya hospitali moja nchini Yemen.
Habari ID: 3407236 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/28
Hujuma mbili za kigaidi zilizolenga misikiti kaskazini mashariki mwa Nigeria zimepelekea watu wasiopungua 55 waliuawa na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa.
Habari ID: 3393551 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/25