Msikiti wa Abu Derwish, Amman Jordan
Msikiti wa Abu Derwish ni kati ya misikiti maridadi na yenye kuvutia watalii katika mji mkuu wa Jordan, Amman. Msikiti huu ulijengwa mwaka 1961 juu ya Jebel al-Ashrafiyeh, moja ya milima saba ya of Amman na usanifu majengo wake ni ule wa jadi wa eneo la Sham.