Upambaji wa Misikiti ya Iraq
Mchoraji mahiri nchini Iraq anaandika aya za Qur'ani kwa maandishi ya kaligrafia yenye mvuto katika Misikiti na kuwasilisha taswira ya kimaanawi katika Misikiti ya Suleimaniya katika eneo la Kurdistan.
copied
https://iqna.ir/H0EZ4O