Bwawa la Maroon
Bwawa la mchanga la Maroon liko katika Mto Marun ulio kilomita 15 kaskazini mwa mji wa Behbahan katika mkoa za Khuzestan kusini mwa Iran. Bwawa hilo hutumika kukidhi mahitaji ya kilimo na uzalishaji umeme.
copied
https://iqna.ir/H0EZCG