IQNA

Kikao cha Palestina na Mpango wa 'Muamala wa Karne'

Kikao cha kuchunguza mpango wa Marekani wa 'Muamala wa Karne' kimefanyika 25 Juni mjini Tehran katika Baraza la Uhusiano wa Kistratijia la Iran na kuhudhuriwa na Balozi wa Serikali ya Palestina mjini Tehran Salah Zawawi