IQNA

Msikiti wa Huasi mjini Linxia, katika mkoa Gansu nchini China ulijengwa wakati wa utawala wa Mfalme Chenghua ( Zhu Jianshen) katika zama za Wafalme wa Silsila ya Ming karne ya 15 Miladia.

Msikiti huo ulijengwa na Waislamu waliokuwa wakiishi katika mji wa West Phoenix Wood ambao leo unajulikana kama mtaa wa Bafang mjini Linxia mkoani Gansi. Mzozo ulioibuka mwka 1930 ulipelekea msikiti huo uteketezwe moto. Baada ya kukarabatiwa mwka 1941, msikiti huo sasa una uwezo wa kubeba watu 2,000.

 

Huasi Mosque in Gansu, China

Huasi Mosque in Gansu, China

Huasi Mosque in Gansu, China

Huasi Mosque in Gansu, China

Huasi Mosque in Gansu, China

Huasi Mosque in Gansu, China

Huasi Mosque in Gansu, China

Huasi Mosque in Gansu, China

Huasi Mosque in Gansu, China

Huasi Mosque in Gansu, China

Huasi Mosque in Gansu, China

Huasi Mosque in Gansu, China

https://www.beautifulmosque.com/