IQNA

arehe nne Shaaban ni siku ya kukumbuka kuzaliwa Hadhrat Abul Fadhl Abbas (AS). Katika tukio la Karbala mtukufu huyo aliibua hamasa zisizo na kifani.