Mazishi ya waliofariki kutokana na corona duniani
Kwa kuzingatia kuwa ugonjwa wa corona au COVID-19 unaenea kwa kasi duniani huku makumi ya maelfu ya watu wakiwa wamefariki hadi sasa, waliofariki kutkana na ugojwa huu hatari wa kuambukiza wanazikwa kwa njia tafauti katika kila nchi. Picha zifuatazo zinaonyesha namna wanavyozikwa waliofariki kutokana na corona katika nchi za Italia, Uturuki, Iraq, Brazil, Indonesia, Chile, Uhispania na Ufaransa.