IQNA

Hali ya Ramadhani mjini Sanaa, Yemen

Waislamu nchini Yemen katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani hufika katika msikiti mkubwa wa mjini Sanaa kwa ajili ya kusoma Qur'ani Tukufu na kuswali.

Wananchi wa Yemen wanasisitiza kuwa, pamoja na kuwepo masaibu yote waliyonayo, maisha yanaendelea na wameukaribisha mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa uwezo wao wote.