Swala ya Idul Fitr maeneo mbali mbali ya dunia
Baada ya kumalizika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, mwezi wa saumu, ibada na kujikurubisha kwa Mwenyezi Mungu, Waislamu katika maeneo mbali mbali wameshiriki katika Swala ya Idul Fitr.
copied
https://iqna.ir/H0EZQu