IQNA

Masanamu ambayo ni nembo za ukoloni yavunjwa katika maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi duniani

Watu katika miji mbali mbali ya Mareknai, Ulaya na maeneo mengine duniani wamvunja au kuharibi masanamu ambayo ni nembo za ukoloni, ubaguzi wa rangi na waungaji mkono wao. Masanamu hayo yamehujumiwa ikiwa ni muendelezo wa maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi na ukoloni ambao umekuwa ukitekelezwa na wazungu dhidi ya watu wa rangi zinginezo