iqna

IQNA

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, muqawama (mapambano ya Kiislamu) unaokua na kuzidi kupata nguvu katika eneo la Asia Magharibi umesambaratisha kiburi na majigambo ya ubeberu.
Habari ID: 3474937    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/17

TEHRAN (IQNA)- Matukio ya majuma mawili ya hivi karibuni nchini Afghanistan yameonyesha kuwa, makundi ya mapambano na muqawama katika eneo la Asia Magharibi yana nafasi muhimu katika kulinda mamlaka ya kujitawala pamoja na usalama wa mataifa yao.
Habari ID: 3474235    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/28

TEHRAN (IQNA)- Rais Bashar al Assad wa Syria amejiunga na mamillioni ya Wasyria katika kupiga kura katika uchaguzi wa rais nchini humo.
Habari ID: 3473948    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/26

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma ujumbe maalumu na kuupongeza muqawama wa Palestina kwa ushindi wake katika vita vya siku 12 kati yake na utawala wa Kizayuni.
Habari ID: 3473934    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/22

TEHRAN (IQNA) - Alfajiri Januari Tatu unatimia mwaka wa kwanza wa kumbukumbu ya kuuliwa shahidi Hajj Qassem Soleimani. Mhimili wa muqawama unakumbushia shahid huyo mkubwa na utawala wa Kizayuni pia umefurahishwa kwa kuuliwa kamanda huyo wa muqawama .
Habari ID: 3473517    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/02

Shabab Al-Muqawama Global Front Holds Congress
TEHRAN (IQNA) - Kongamano la 7 la Kimataifa la Vijana wa Mapambano (Shabab Al Muqawama) limefanyika Jumatatu nchini Iran kujadili njia za kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3473173    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/15

Sayyid Hassan Nasrallah
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrallah amesema kuwa, Marekani ilikuwa na njama kubwa tofauti kwa ajili ya kusambaratisha harakati hiyo mwaka 2006, lakini uimara wake umeweza kusambaratisha njama zote hizo.
Habari ID: 3471868    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/03/09

TEHRAN (IQNA)- Mkutano wa pili wa kimataifa wa Umoja wa Maulamaa wa Muqawama au mapambano ulianza hapo jana Jumatano katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut kwa kaulimbiu ya "Umoja kwa ajili ya Palestina-Israel inaelekea kutoweka".
Habari ID: 3471244    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/02

Ayatullah Mohsen Araqi
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu ya Kiislamu Ayatullah Mohsen Araqi ameashiria ufanisi wa mapambano ya watu wa Palestina mbele ya hujuma ya utawala wa Kizayuni katika vita vya hivi karibuni vya Ghaza.
Habari ID: 1448558    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/09/09