Wafanya ziara ya Arobaini waanza kuelekea Karbala wakitokea kusini mwa Iraq
Idadi kubwa ya wapenzi na waombolezaji wa Imam Hussein AS wameanza kutembea kwa miguu kutoka maeneo ya kusini mwa Iraq wakielekea Karbala kwa ajili ya maadhimisho ya Arobaini ya mtukufu huyo katika mwezi huu wa Safar.