iqna

IQNA

arobaini
NEW DELHI (IQNA) – Maelfu ya Waislamu mjini Mumbai, India, walijiunga na Matembezi ya Arubaini kutoa heshima kwa Imam Hussein (AS) na masahaba wake, licha ya hali ya hewa ya mvua.
Habari ID: 3477576    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/10

Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mkusanyiko mkubwa wa Arubaini ya Imam Husain AS ambao unaambatana na "mashaya" na matembezi ya mamilioni ya watu yakiwemo yale ya kutoka Najaf hadi Karbala nchini Iraq, ni dhihirisho la mapenzi makubwa ya maashiki wa Ahlul Bayt AS, kwa Imam Husain AS.
Habari ID: 3477556    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/06

TEHRAN (IQNA) - Kama miaka iliyopita, Waislamu, aghalabu wakiwa ni wa madhehebu ya Shia, wameanza matembezi ya kuelekea katika mji mtakatifu wa Karbala kwa ajili ya maadhimisho ya Arobaini ya Iman Hussein AS.
Habari ID: 3473225    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/03

Idadi kubwa ya wapenzi na waombolezaji wa Imam Hussein AS wameanza kutembea kwa miguu kutoka maeneo ya kusini mwa Iraq wakielekea Karbala kwa ajili ya maadhimisho ya Arobaini ya mtukufu huyo katika mwezi huu wa Safar.
Habari ID: 3473195    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/23

TEHRAN (IQNA)- Jeshi la Nigeria limeua shahidi Waislamu 34 waliokuwa wakishiriki katika maadhimisho ya Arobaini ya Imam Hussein AS.
Habari ID: 3471725    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/31