IQNA

Wanafunzi Uturuki washiriki mradi wa kuwasaidia wasiojiweza

TEHRAN (IQNA)- Wanafuni katika kituo cha vijana cha Dar al Afta mkoani Sivas sasa wanajishughulisha katika kutengeneza bidhaa mbali mbali kwa mikono na pato wanalopata linatumikwa kuwasaidia wasiojiweza katika jamii.