IQNA

Machipuo mapya ya mazingira mjini Shiraz, Iran

SHIRAZ (IQNA)- Machipuo mapya ya mazingira yameanza mapema katika mji wa Shiraz, kusini mwa Iran huku maua yakianzai kuchipua kuashiria kuanza msimu mpya.