IQNA

Maonyesho ya 29 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu

TEHRAN (IQNA)- Maonyesho ya 29 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran yalizinduliwa Aprili 16 na yanatazamiwa kuendelea hadi Aprili 29 katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.