IQNA

Kombe la Soka Duniani nchini Qatar

TEHRAN (IQNA)- Kombe la Soka la Dunia la FIFA 2022 ni kombe la kwanza la dunia kuwahi kufanyika katika nchi ya Kiislamu. Hizi hapa ni picha za yanayojiri katika mashindano hayo yaliyoanza Novemba 20, 2022 na yanatazamiwa kumalizika Disemba 18, 2022.