IQNA

Usomaji wa Qur'ani katika Msikiti wa Imam Ridha (AS) huko Madagaska

TEHRAN (IQNA)- Klipiu hii maalumu ya Shirika la Habari za Qur'ani la Kimataifa (IQNA) inaonyesha usomaji wa Qur'ani Tukufu katika msikiti wa Imam Ridha (AS) katika nchi ya Madagaska iliyo kusini mwa Afrika