IQNA

Qiraa ya Seyyed Reza Najibi katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Karbala

TEHRAN (IQNA) -Seyyed Reza Najibi, msomaji mashuhuri wa Qur'ani Tukufu nchini Iran , alihudhuria toleo la pili la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya ya Zawadi Karbala kwa wawakilishi wa vizingiti vitakatifu, madhabahu na maeneo yenye baraka huko Karbala, kama msomaji wa HaramTukufu ya Shah Cheragh iliyoko, Shiraz, Iran.

Hapa anasoma aya za 35 hadi 37 za Surah Noor.