IQNA

Natoa Salamu Kwako Ya Aba Abdullah Al- Husein (AS)

KARBALA (IQNA) – Kutokana na maendeleo ya Teknolojia na mtandao, wafanya ziyara wa Karbala wanawaalika marafiki na watu wanaofahamiana nao kushiriki ibada na kumuomba Mwenyezi Mungu awakidhie haja zao njia ya Imam Husein (AS).